Ecclesiastes 5:4-5

4 aWakati unapomwekea Mungu nadhiri, usikawie kuitimiza. Yeye hafurahii wapumbavu; timiza nadhiri yako. 5 bNi afadhali usiweke nadhiri kuliko kuiweka na usiitimize.
Copyright information for SwhKC